Sunday, 27 April 2014

Star abambwa live na mkewe

                   STAR ABAMBWA  NA MKE WAKE GUEST.


                                                               SEHEMU YA PILI
Ndugu msomaji karibu tena tuangaze pale tulipo ishia wiki jana baada ya kugundua yakuwa baadhi ya mastar uwatelekeza wake zao pasipo sababu, hii ilimtokea star wetu wa kijijini huku makwetu Wilayani Rorya;
kama unakumbukumbu za kurasa zetu tuliishia pale ambapo Mke wa star alipo funua chini ya tumbo yake na kutoa nyembe kibao zilizotumika na bisibisi na kumvagaa made bila aibu akiwa mtupu yaani alimtembezea nyembe mwili mzima.

Star alipo ishu iliotokea ni aibu alihamua kupiga kelele kwa kuomba msaada kwa majirani walio karibu ,
Wajameni kisicho riziki akiliki semo ili ilizuwa tafsri kwa star huyo siku hiyo kwani, Hakuna jirani yeyote aliejitokeza kwaajili ya kelele alizozitoa star huyo sio kwamba majirani hawakusikia kelele hizo ila walijua ni tabia ya star huyo kufumaniwa kwa hiyo waliomba mke wa star huyo kuendelea kutembeza nyembe mwili mzima.

Mnamo mwezi wa tano mwaka jana star huyo, alikamatwa na mwanafunzi wa sekondary ya Bukama Wilayani hapo katika Guest Ya (BAADAE) Iliyopo Obwere Shirati Wilayani Rorya .Ambapo Star huyo alionga wazazi wa binty huyo nusu ya mali yake kufuta Uvumi huo Ulio mrindima. Hiyo Aitoshi Star huyo alipokuwa Olevel Alishadiriki kumtorosha mwanafunzi wa shule ya msingi wa darasa la saba kwa maadai ya kutaka kumuoa,ambapo wazazi wa mwanafunzi huyo waliingilia kati swala hilo na kusababisha Star kufukuzwa Elimu ya sekondary akiwa kidato cha pili Duu!.

Star hyu ana mtoto mmoja wa ndoa, na wakupakaziwa anao kibao mtaani. mke wa star huyo ameshikiliwa na uongozi wa kijiji baada ya made kumripoti katika uongozi huo, na kudai kuwa alipo mvagaa mke wa star huyo alikuwa na pesa za Bosi wake Taslimu  Shilingi laki 7 alizouza bar siku hiyo....Endelea kuperuz kurasa zetu kusoma sehemu ya tatu ya story hii itakayotoka wiki ijayo.

No comments: