Wednesday, 11 June 2014

Atomy_Sifa_Migigo Part 2(Audio)

Baada ya kutoa track yake msanii huyu toka kenya Raia wa Tz Arudia Track yake ya Migingo nchini hapa katika studio ya Tivol

iliyopo Jijini Mwanza Bofya Hapa kusikiliza alafu download.   Inasemekana msanii huyu anatokea Shirati Wilayani Rorya Maeneo ya Obwere

No comments: